Kabarnet

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Barabara yakuelekea Kabarnet
Kabarnet
Nchi Kenya
Kaunti Baringo
Idadi ya wakazi
 - 27,278

Kabarnet ni mji wa Kenya, kaunti ya Baringo, katika Bonde la Ufa la Afrika Mashariki.

Mji upo mita 1,815 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Una wakazi 27,278 (2009).