Maralal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Maralal
Skyline ya Maralal
Maralal is located in Kenya
Maralal
Maralal
Mahali pa mji wa Maralal katika Kenya
Majiranukta: 1°6′0″N 36°42′0″E / 1.1°N 36.7°E / 1.1; 36.7
Nchi Kenya
Kaunti Samburu
Idadi ya wakazi
 - 35,472

Maralal ni mji wa Kenya katika Bonde la Ufa la Afrika Mashariki, kaunti ya Samburu.

Wakati wa sensa ya mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 35,472[1].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Sensa ya Kenya 2009, tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.