Isiolo
Mandhari
Isiolo | |
Mahali pa mji wa Isiolo katika Kenya |
|
Majiranukta: 0°21′0″N 37°35′0″E / 0.35000°N 37.58333°E | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Isiolo |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 46,128 |
Isiolo ni mji wa Kenya na makao makuu ya kaunti ya Isiolo.
Wakazi walikuwa 46,128 wakati wa sensa ya mwaka 2009[1].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Sensa ya Kenya 2009 Ilihifadhiwa 9 Januari 2019 kwenye Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Isiolo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |