Kaunti ya Uasin Gishu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Ramani ikionesha eneo la Kaunti ya Uasin Gishu, Kenya.

Kaunti ya Uasin Gishu ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.

Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 1,163,186 katika eneo la km2 3,392.2, msongamano ukiwa hivyo wa watu 343 kwa kilometa mraba[1].

Makao makuu yako Eldoret.

Utawala[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Uasin Gishu ina maeneo bunge yafuatayo[2]:

Eeneo bunge Kata
Ainabkoi Kapsoya, Kaptagat, Ainabkoi/Olare
Kapseret Simat/Kapseret, Kipkenyo, Langas, Megun, Ngeria
Kesses Cheptiret/Kipchamo, Racecourse, Tulwet/Chuiyat, Tarakwa
Moiben Karuna/Meibeki, Kimumu, Moiben, Sergiot, Tembelio
Soy Kapkures, Kipsomba, Kuinet/Kapsuswa, Moi's Bridge, Segero/Barsombe, Soy, Ziwa
Turbo Huruma, Kamagut, Kapsaos, Kiplombe, Ngenyilel, Tapsagoi

Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [3][hariri | hariri chanzo]

  • Ainabkoi 138,184
  • Kapseret 198,499
  • Kesses 148,798
  • Moiben 181,338
  • Soy 229,094
  • Turbo 267,273

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
  2. http://countytrak.infotrakresearch.com/UasinGishu-county/
  3. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.