Kaunti ya Isiolo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kaunti ya Isiolo
Kaunti
Isiolo- Marsabit Highway.jpg
Barabara kuu ya Marsabit-Isiolo
Isiolo County in Kenya.svgIsiolo County in Kenya.svg
Kaunti ya Isiolo katika Kenya
Nchi Flag of Kenya.svg Kenya
Namba 11
Ilianzishwa Tarehe 4 Machi, 2013
Ilitanguliwa na Mkoa wa Mashariki
Makao Makuu Isiolo
Miji mingine Merti, Archers Post, Garba Tula
Gavana Mohamed Kuti, EGH
Naibu wa Gavana Dr. Ibrahim Abdi Issa
Seneta Dullo Fatuma Adan
Mbunge Mwanamke(Bunge la Taifa) Rehema Dida Jaldesa
Bunge la Kaunti Bunge la Kaunti ya Isiolo
Eneo 25,336.1 km2 (9,782.3 sq mi)
Idadi ya watu 143,294
Kanda muda Saa za Afrika Mashariki (UTC+3)
Tovuti isiolo.go.ke

Kaunti ya Isiolo ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.

Imepakana na Kaunti za Marsabit, Samburu, Meru, Laikipia, Garissa, Tana River na Wajir. Mpaka wake na Kaunti ya Meru umekuwa na utata tangu kaunti zianzishwe[1].

Makao makuu yako Isiolo. Mji huo umepangiwa kuwa mji wa raha katika mradi wa LAPSSET.

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Isiolo ina maeneo makavu na nusu kavu. Mvua hunyesha mara kwa mara.

Mto Ewaso Ng'iro (Kaskazini) hupitia katika kaunti hii[2].

Utawala[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Isiolo imegawanywa katika kaunti ndogo zifuatazo[3]:

Kaunti ndogo/Eneo bunge Wadi
Isiolo North Wabera, Bulla Pesa, Chari, Cherab, Ngare Mara, Burat, Oldo/Nyiro
Isiolo South Garba Tulla, Kina, Sericho

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Lucy Kilalo, "Kaunti moja Pwani yapiga marufuku uuzaji miraa", Taifa Leo, ilipatikana 13-04-2013
  2. "A BRIEF FACTFILE ABOUT ISIOLO", Zero Violence254, ilipatikana 13-04-2018
  3. "Isiolo County", Infotrak, ilipatikana 13-04-2018

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Majiranukta kwenye ramani: 0°53′00″N 38°40′00″E / 0.883333°N 38.6667°E / 0.883333; 38.6667