Wilaya ya Isiolo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Wilaya ya Isiolo
Mahali paWilaya ya Isiolo
Mahali paWilaya ya Isiolo
Wilaya ya Isiolo katika Kenya
Nchi Bendera ya Kenya Kenya
Mji mkuu Isiolo
Eneo
 - Jumla 25,698 km²
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1])
 - Wakazi kwa ujumla 143,294

Wilaya ya Isiolo ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Mashariki wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Makao makuu yalikuwa mjini Isiolo.

Kwa sasa imekuwa kaunti ya Isiolo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mashariki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Isiolo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.