Wilaya ya Embu
Mandhari
Wilaya ya Embu | |
Mahali pa Wilaya ya Embu katika Kenya | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Mji mkuu | Embu |
Eneo | |
- Jumla | 2,818 km² |
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 516,212 |
Wilaya ya Embu ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Mashariki wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Makao makuu yalikuwa mjini Embu.
Kwa sasa imekuwa kaunti ya Embu.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mashariki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Embu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |