Wilaya ya Nakuru
Mandhari
Wilaya ya Nakuru | |
Mahali pa Wilaya ya Nakuru katika Kenya | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Mji mkuu | Nakuru |
Eneo | |
- Jumla | 7,509.5 km² |
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,603,325 |
Wilaya ya Nakuru ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Bonde la Ufa wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Makao makuu yalikuwa mjini Nakuru.
Kwa sasa imekuwa kaunti ya Nakuru.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Bonde la Ufa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Nakuru kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |