Wilaya ya Kiambu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Wilaya ya Kiambu
Mahali pa Wilaya ya Kiambu katika Kenya
Mahali pa Wilaya ya Kiambu katika Kenya
Nchi Bendera ya Kenya Kenya
Mji mkuu Kiambu
Eneo
 - Wilaya 2,449.2 km²
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1])
 - 1,623,282

Wilaya ya Kiambu ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Kati wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Makao makuu yalikuwa mjini Kiambu.

Kwa sasa imekuwa kaunti ya Kiambu.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag-map of Kenya.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kati bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kiambu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.