Wilaya ya Meru Kusini
Jump to navigation
Jump to search
Wilaya ya Meru Kusini | |
Mahali pa Wilaya ya Meru Kusini katika Kenya | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Mkoa | Mashariki |
Mji mkuu | Chuka |
Eneo | |
- Wilaya | 1,093 km² |
Idadi ya wakazi (1999 Sensa[1]) | |
- | 205,451 |
Wilaya ya Meru Kusini ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Mashariki wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Makao makuu yalikuwa mjini Chuka.
Kwa sasa imekuwa sehemu ya kaunti ya Meru.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mashariki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Meru Kusini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |