Nenda kwa yaliyomo

Busia, Kenya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya Busia

Busia ni mji wa Kenya Magharibi, makao makuu ya kaunti ya Busia[1].

Kadiri ya sensa ya mwaka 2009, mji ulikuwa na wakazi 51,981, na hivyo kuwa mkubwa kuliko yote ya kaunti.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Aggrey Mutambo, and Gaitano Pessa (23 Februari 2018). "Busia open border reduces cost of doing business, leaves losers sulking". Daily Nation. Nairobi. Iliwekwa mnamo 24 Februari 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)