Kerugoya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kerugoya
Nchi Kenya
Kaunti Kirinyaga
Idadi ya wakazi
 - 34,014

Kerugoya ni mji wa Kenya ya Kati, makao makuu ya kaunti ya Kirinyaga.

Wakati wa sensa ya mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 34,014[1].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Sensa ya Kenya 2009 Archived Januari 9, 2019 at the Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.