Nenda kwa yaliyomo

Chuka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Chuka, Kenya)
Chuo Kikuu cha Chuka


Chuka
Chuka is located in Kenya
Chuka
Chuka

Mahali pa Chuka katika Kenya

Majiranukta: 0°20′0″S 37°39′0″E / 0.33333°S 37.65000°E / -0.33333; 37.65000
Nchi Kenya
Kaunti Tharaka-Nithi
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 43,470

Chuka ni mji wa Kenya Mashariki katika kaunti ya Tharaka-Nithi.

Wakazi walikuwa 43,470 wakati wa sensa ya mwaka 2009[1].

  1. Sensa ya Kenya 2009 Ilihifadhiwa 9 Januari 2019 kwenye Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.