Kapenguria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kapenguria
Kapenguria is located in Kenya
Kapenguria
Kapenguria
Mahali pa mji wa Kapenguria katika Kenya
Majiranukta: 1°14′0″N 35°07′0″E / 1.23333°N 35.11667°E / 1.23333; 35.11667
Nchi Kenya
Kaunti Pokot Magharibi
Idadi ya wakazi
 - 71,477

Kapenguria ni mji wa Kenya katika Bonde la Ufa la Afrika Mashariki, kaunti ya Pokot Magharibi.

Wakazi walikuwa 71,477 wakati wa sensa ya mwaka 2009[1].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Sensa ya Kenya 2009 Archived Januari 9, 2019 at the Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.