Kaunti ya Taita-Taveta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kaunti ya Taita-Taveta
Kaunti
Bendera Nembo ya Serikali
Taita-Taveta County in Kenya.svg
Kaunti ya Taita-Taveta katika Kenya
Nchi Kenya
Namba6
IlianzishwaTarehe 4 Machi, 2013
Ilitanguliwa naMkoa wa Pwani
Makao MakuuMwatate
Miji mingineVoi, Wundanyi, Taveta
GavanaGranton Graham Samboja
Naibu wa GavanaMajala Mlagui Delina
SenetaJohnes Mwashushe Mwaruma
Mbunge Mwanamke(Bunge la Taifa)Lydia Haika Mnene Mizighi
Bunge la KauntiBunge la Kaunti ya Taita-Taveta
Wawakilishi wa Bunge la Kaunti waliochaguliwa20
Maeneo bunge/Kaunti ndogo4
Eneokm2 17 152 (sq mi 6 622)
Idadi ya watu340,671 [1]
Wiani wa idadi ya watu20
Kanda mudaSaa za Afrika Mashariki (UTC+3)
Tovutitaitataveta.go.ke

Kaunti ya Taita-Taveta ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.

Imepakana na Kaunti za Kwale, Kitui, Kilifi, Tana River, Kajiado na Makueni. Pia, imepakana na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Makao makuu yako Mwatate.

Idadi ya watu waliohesabiwa katika sensa iliyofanywa mwezi wa Agosti 2019 ni 340,671 katika eneo la km2 17,152, msongamano ukiwa hivyo wa watu 20 kwa kilometa mraba[2].[3].

Taita-Taveta ina mbuga za wanyama za Tsavo Mashariki na Tsavo Magharibi.

Ziwa Jipe na Ziwa Chala hupatikana katika kaunti hii katika mpaka wa Kenya na Tanzania.

Utawala[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Taita Taveta imegawanywa katika maeneo yafuatayo ya utawala[4]:

Kaunti ndogo/Eneo bunge Kata Msimbo
Voi Kasigau VKAS
Marungu VMAR
Sagalla VSAG
Kaloleni VKAL
Mbololo VMBO
Ngolia VNGO
Mwatate Rong'e MRON
Wusi-Kishamba MWUKI
Mwatate MMWA
Chawia MCHA
Bura MBUR
Wundanyi Werugha WWER
Mwanda-Mghange WMMG
Wundanyi-Mbale WWUM
Wumingu-Kishushe WWUKIS
Taveta Chala TCHA
Bomani TBOM
Mahoo TMAH
Mata TMAT
Mboghoni TMBO

Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [5][hariri | hariri chanzo]

  • Mwatate 81,659
  • Taita 55,959
  • Taveta 91,222
  • Voi 111,831

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2019-11-18.
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2019-11-18.
  3. "2019 Kenya Population and Housing Census Volume I: Population by County and Sub-County". Kenya National Bureau of Statistics. Retrieved 4 November 2019.
  4. "Kata ndogo pamoja na wadi na misimbo ya wadi Archived 19 Aprili 2018 at the Wayback Machine.", Serikali ya Taita-Taveta, ilipatikana 12-04-2018
  5. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2019-11-18.