Garissa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Garissa, Kenya
Garissa
Garissa is located in Kenya
Garissa
Garissa
Mahali pa mji wa Garissa katika Kenya
Majiranukta: 0°27′25″S 39°39′30″E / 0.45694°S 39.65833°E / -0.45694; 39.65833
Nchi Kenya
Kaunti Garissa
Idadi ya wakazi
 - 119,696
Garissa iko upande wa mashariki wa Nairobi.

Garissa ni mji nchini Kenya ulio makao makuu ya kaunti ya Garissa.

Wakazi walikuwa 119,696 wakati wa sensa ya mwaka 2009[1].

Mto Tana hupitia eneo la manispaa.

Wakazi walio wengi ni Wasomali kiutamaduni pamoja na raia wa Somalia waliohamia hapa kutokana na hali ya vita nchini kwao. Kundi kubwa la wenyeji ni wa ukoo wa Waogaden.

Tanbihi

  1. Sensa ya Kenya 2009, tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.

Viungo vya nje