Wasomali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Wasomali ni kabila kubwa la watu katika eneo linaoitwa Pembe la Afrika ambalo ni eneo linalopakana na Bahari ya Hindi na kugawanyika kati ya nchi nne: Somalia, Kenya, Ethiopia na Jibuti.

Lugha yao ni Kisomali. Dini yao ni Uislamu.

Idadi ya Wasomali walioko nchini Kenya ni karibu milioni tatu (3,000,000) kufuatana na takwimu zilizotolewa na Kenya National Bureau of Statistics, Census Bureau.

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wasomali kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.