Wachuka
Mandhari
Wachuka ni kabila la watu wa Kenya wanaoongea Kichuka, lahaja ya Kimeru.
Wanaishi upande wa kusini mashariki wa Mlima Kenya, kati ya mto Thuci na mto Nithi (kaunti ya Tharaka-Nithi).
Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wachuka kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |