Waorma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Waorma ni kabila la watu (70,000 mwaka 2005) wa jamii ya Wakushi wanaoishi mashariki mwa Kenya, karibu na mwisho wa mto Tana.

Lugha yao ni Kiorma, lahaja ya Kioromo, mojawapo kati ya lugha za Kikushi.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Waorma kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.