Wataveta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Wataveta ni kabila la watu (20,000 hivi) wa jamii ya Wabantu wanaoishi kusini mwa Kenya, katika kaunti ya Taita-Taveta, mpakani mwa Tanzania.

Lugha yao ni Kitaveta, mojawapo kati ya lugha za Kibantu, lakini wengi wanaongea pia Kiswahili.

Wengi wao ni Wakristo na Waislamu.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Flag of Kenya.svg Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wataveta kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.