Wasengwer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wasengwer (pia: Wasekker, Wasiger, Wasigerai, Wasegelai, Wacherang'any) ni kabila la watu wanaoishi hasa katika misitu ya Embobut, kwenye nyanda za juu za magharibi mwa Kenya[1][2].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Threats of eviction against indigenous Sengwer people continue in Kenya (15 February 2018). Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-01-21. Iliwekwa mnamo 21 January 2019.
  2. Who are we?. Iliwekwa mnamo 21 January 2019.
Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wasengwer kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.