Waburji
Mandhari
Waburji ni kabila la watu ambao wanaishi nchini Ethiopia na Kenya na kuzungumzwa Kiburji, mojawapo kati ya lugha za Kikushi.
Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kiburji nchini Ethiopia imehesabiwa kuwa watu 35,700. Pia kuna wasemaji 10,400 nchini Kenya.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Sasse, Hans-Jürgen and Helmut Straube. 1977. "Kultur und Sprache der Burji," Süd-Aethiopien: Ein Abriss, Zur Sprachgeschichte und Ethnohistorie in Afrika. Ed. Wilhelm J. G. Moehlig, Franz Rottland and Bernd Heine. Berlin. Pages 239-266.
Kigezo:Mbegu-utamaduni-Ethiopia
Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Waburji kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |