Kiburji
Mandhari
Kiburji ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia na Kenya inayozungumzwa na Waburji. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kiburji nchini Ethiopia imehesabiwa kuwa watu 35,700. Pia kuna wasemaji 10,400 nchini Kenya. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiburji iko katika kundi la Kikushi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiburji kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiburji Ilihifadhiwa 30 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiburji katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bji
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiburji kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |