Waembu
Waembu ni kabila la Kibantu linalokalia tangu kale kaunti ya Embu nchini Kenya. Wanakadiriwa kuwa 324,092 [1]
Lugha mama yao ni Kiembu, mojawapo kati ya lugha za Kibantu. Wengi wao ni Wakristo.
Wana undugu wa asili na Wakikuyu, Wameru, Wambeere na Wakamba.
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2014-02-02. Iliwekwa mnamo 2019-02-20.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Henry Stanley Kabeca Mwaniki (1974). Embu Historical Texts. Kampala: East African Literature Bureau.
- Ciarunji Chesaina (1 January 1997). Oral Literature of the Embu and Mbeere. East African Publishers. ISBN 978-9966-46-407-1.
- Godfrey Mwakikagile (June 2010). Life in Kenya: The Land and the People, Modern and Traditional Ways. New Africa Press. ISBN 978-9987-9322-7-6.
- Angelique Haugerud (13 May 1997). The Culture of Politics in Modern Kenya. Cambridge University Press. ISBN 978-0-521-59590-2.
![]() |
Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Waembu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |