Nenda kwa yaliyomo

Wambeere

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wambeere ni kabila la Kibantu linalokalia tangu kale kaunti ya Embu nchini Kenya. Wanakadiriwa kuwa 168,155 [1]

Lugha mama yao ni Kimbeere, mojawapo kati ya lugha za Kibantu. Wengi wao ni Wakristo.

Wana undugu wa asili na Waembu, Wakikuyu, Wameru na Wakamba.

  1. "Population and Housing Census". Archived from the original on November 21, 2013. Retrieved December 16, 2013.
Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wambeere kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.