Nenda kwa yaliyomo

Wabajuni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bajuni
Maeneo penye idadi kubwa kiasi
 Kenya 69,110[1] [2]
 Somalia 10,000 (1970s estimate) [3]
Lugha

Kibajuni, Swahili

Makundi yaliyo karibu kiukoo au kiutamaduni

Waswahili, Wakomoro

Wabajuni ni kabila la watu wanaoishi hasa katika visiwa vya Bajuni na sehemu za pwani za jirani upande wa bara kati ya Kismayo (Somalia) na Mombasa (Kenya)[3][4].

Asili yao ni mchanganyiko wa Wakhoisan na Wabantu, lakini pia Waarabu, Waajemi, Wasomali[3] na hata Waindonesia.[5]

Lugha yao ni Kibajuni, lahaja ya Kiswahili.

Upande wa dini ni Waislamu[6].

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-02-02. Iliwekwa mnamo 2019-02-22. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)
  2. Nurse, p.6.
  3. 3.0 3.1 3.2 Abdullahi, p.11.
  4. Mwakikagile, p.102.
  5. Gregory Norton, Flyktningeråd (Norway). Land, property, and housing in Somalia. Norwegian Refugee Council. uk. 52.
  6. "Swahili, Bajuni". Joshua Project. Iliwekwa mnamo 2015-11-12.