Waaweer
Mandhari
Waaweer (pia: Waboni) ni kabila lenye asili ya Kikhoisan linalokalia tangu kale misitu ya pwani ya Kenya (Kaunti ya Lamu na Kaunti ya Tana River) na Somalia kusini. Wanakadiriwa kuwa 8,000 [1]
Lugha mama yao ni Kiaweer, mojawapo kati ya lugha za Kikushi. Wengi wao ni Waislamu.
Wana undugu wa asili na Wadahalo na Waata nao wote wanaitwa Wasanye.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Aweer". Ethnologue. Retrieved 10 August 2013.
Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Waaweer kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |