Wasanye

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Wasanye ni jina linalotumika kwa makabila matatu madogo ya Kenya yenye asili ya Wakhoisan yaliyo wakazi wa kwanza wa nchi hiyo, kabla ya kuingia Wakushi, Wabantu na Waniloti. Makabila hayo ni: Waata, Waaweer na Wadahalo.

Flag of Kenya.svg Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wasanye kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.