Waniloti
Mandhari
Waniloti ni watu wenye asili ya bonde la mto Nile[1] ambao wanatumia lugha za Kiniloti, kama vile Wajaluo, Wasara, Wamasai, Wakalenjin, Wadinka, Wanuer, Washilluk, Waateker n.k.
Wanajulikana kwa urefu na weusi wao.
Pamoja na kuwa wengi kati ya wakazi wa Sudan Kusini, wanapatikana pia Ethiopia, Uganda, Kenya na Tanzania[2][3].
Waserer wa Afrika Magharibi pia wana asili hiyo.
Upande wa dini, siku hizi walio wengi wanafuata Ukristo, wakizidi kuacha Dini asilia za Kiafrika.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Article: "Nilot", Encyclopædia Britannica
- ↑ "Nilotic". The American Heritage Dictionary of the English Language (tol. la 5th). Houghton Mifflin Harcourt Publishing. 2015. Iliwekwa mnamo 5 Agosti 2015.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Okoth, Assa; Ndaloh, Agumba (2006). Peak Revision K.C.P.E. Social Studies. Nairobi, Kenya: East African Educational Publishers. ku. 60–62. ISBN 978-9966-25-450-4. Iliwekwa mnamo 5 Agosti 2015.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- (Kiingereza) Lienhardt, Godfrey, Divinity and Experience: The Religion of the Dinka, Oxford University Press (1988), ISBN 0198234058 [1] (Retrieved : 9 June 2012)