Nenda kwa yaliyomo

Bingwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bingwa wa sanaa.

Bingwa ni mtu apataye matokeo bora kuliko wengine katika fani fulani. Kwa ujumla, ni mtu mwenye maarifa mbalimbali au uwezo unaotokana na utafiti, uzoefu au kazi katika eneo fulani la masomo, michezo n.k. Hivyo anajulikana kuwa chanzo cha kutegemewa kwa mbinu au ujuzi ambao hutumika kutoa maamuzi sahihi na maadilifu.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bingwa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.