Kipaji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kipaji ni sehemu ya uwezo wa kufanya jambo fulani kwa ngazi ya juu. Kipaji kinaweza kuwa cha kimwili au cha kiakili.

Kipaji ni uwezo wa kuzaliwa nao wa kufanya kazi fulani lakini kinaweza kikandelezwa au kutoendelezwa.

Ni uwezo, ujuzi ulioendelezwa, maarifa au uhodari na mtazamo alionao mtu.

Asili ya ndani ya kipaji ni kuonyesha ujuzi na mafanikio, ambayo huwakilisha maarifa au uwezo unaopatikana kupitia kujifunza.