Uwezo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Uwezo ni neno ambalo limegawanyika:

  1. uwezo ni kuwa na nguvu
  2. kuwa na mali
  3. kuwa na nguvu ya kufanya jambo
  4. darasani kuwa na ufahamu wa kuelewa masomo
  5. ni kipawa binafsi anaweza akawa nayo mwingine, na mwingine asiwe nayo
  6. mamlaka ya kufanikisha mambo. Kuna baadhi ya watu wanapenda kwenda jeshini wakielezwa hali ya huko lakini wengine hawataki hata kusikia. Pia ni kupenda kufanya kwa hiari. Vita vya mwaka 1978 Idd Amini wa Uganda alitaka kuteka baadhi ya maeneo ya Tanzania. Kuna watu wenye kuipenda nchi yao walijitoa kwa hali na mali wakaikomboa nchi yetu: Amini hakuwa na uwezo tena akakimbilia Libya.