Nenda kwa yaliyomo

Afrika ya Magharibi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Afrika Magharibi)
Afrika ya Maghribi (Kanda ya UM); Maghrib

Afrika ya Magharibi ni ukanda wa magharibi kwenye bara la Afrika.

Kwa kawaida huhesabiwa humo nchi zilizo kati ya jangwa la Sahara na Bahari ya Atlantiki. Upande wa mashariki ukanda huu unaishia kwenye mstari kati ya mlima Kamerun na ziwa Chad.

Katika lugha ya Kiarabu nchi za Afrika ya kaskazini-magharibi zinaitwa "Maghrib" yaani "Magharibi" lakini ni sehemu ya ukanda wa Afrika ya Kaskazini.

Ukanda wa Afrika ya Kakazini ya UM una nchi 16 zifuatazo pamoja na visiwa vya Kiingereza vya Saint Helena:

Nchi za Afrika Magharibi
BenderaNchiMji MkuuLugha RasmiUkubwa wa Eneo (km²)Jiji Kubwa ZaidiIdadi ya Watu (makadirio)
BeninPorto-NovoKifaransa114,763Cotonou13.7 milioni
Burkina FasoOuagadougouKifaransa272,967Ouagadougou22.1 milioni
Cape VerdePraiaKireno4,033Praia0.6 milioni
Côte d'IvoireYamoussoukroKifaransa322,463Abidjan29.4 milioni
GambiaBanjulKiingereza10,689Serekunda2.8 milioni
GhanaAccraKiingereza238,535Accra34.1 milioni
GuineaConakryKifaransa245,857Conakry14.2 milioni
Guinea-BissauBissauKireno36,125Bissau2.1 milioni
LiberiaMonroviaKiingereza111,369Monrovia5.5 milioni
MaliBamakoKifaransa1,240,192Bamako23.3 milioni
MauritaniaNouakchottKiarabu1,030,700Nouakchott4.9 milioni
NigerNiameyKifaransa1,267,000Niamey27.2 milioni
NigeriaAbujaKiingereza923,769Lagos230 milioni
SenegalDakarKifaransa196,722Dakar18.3 milioni
Sierra LeoneFreetownKiingereza71,740Freetown8.9 milioni
TogoLoméKifaransa56,785Lomé8.8 milioni