Mauritania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
الجمهورية الإسلامية الموريتانية
Al-Ǧumhūriyyah al-Islāmiyyah al-Mūrītāniyyah
République Islamique de Mauritanie

Jamhuri ya Kiislamu ya Mauritania
Bendera ya Mauritania Nembo ya Mauritania
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: Kiarabu: شرف إخاء عدل;
Kifaransa: Honneur, Fraternité, Justice
(Heshima, Undugu, Haki)
Wimbo wa taifa: كن للاله ناصرا وأنكر المناكر
(Uwe msaidizi wa Mungu)
Lokeshen ya Mauritania
Mji mkuu Nouakchott
18°09′ N 15°58′ W
Mji mkubwa nchini Nouakchott
Lugha rasmi Kiarabu
Serikali Jamhuri, serikali ya kiraisi
Sidi Ould Sheikh Abdallahi
Uhuru
 - Tarehe
Kutoka Ufaransa
28 Novemba 1960
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
1,030,700 km² (ya 28)
kidogo sana
Idadi ya watu
 - 2005 kadirio
 - 1988 sensa
 - Msongamano wa watu
 
3,086,859 (129)
1,864,236 [1]
2/km² (ya 187)
Fedha Ouguiya (MRO)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
GMT (UTC+0)
-- (UTC+0)
Intaneti TLD .mr
Kodi ya simu +222

-Mauritania ni nchi ya Afrika kaskazini-magharibi. Upande wa magharibi ni pwani la bahari ya Atlantiki, upande wa kusini imepakana na Senegal, upande wa mashariki na Mali na Algeria, upande wa Kaskazini na Sahara ya Magharibi inayotawaliwa na Moroko. Mji mkuu ni Nouakchott. Mji wa pili na kitovu cha uchumi ni bandari ya Nouadhibou karibu na mpaka wa Sahara Magharibi.

Jina limeteuliwa kutokana na Mauritania ya kale iliyokuwa ufalme wa Kiberber kusini ya Mediteranea katika eneo la Algeria na Moroko ya leo.

Mikoa ya Mauritania[hariri | hariri chanzo]

Mauritania ina mikoa 12 (inaitwa "wilāyah").

Siasa ya Mauritania[hariri | hariri chanzo]

Machi 2007 wananchi walipata nafasi ya kumchagua rais mara ya kwanza katika historia ya nchi tangu uhuru. Sidi Ould Cheikh Abdallahi alishinda katika kura ya pili kwa 53% za kura zote akaapishwa 20 Aprili 2007.

 1. Adrar (Atâr)
 2. Assaba (Kifa)
 3. Brakna (Aleg)
 4. Dakhlet Nouâdhibou (Nouâdhibou)
 5. Gorgol (Kaédi)
 6. Guidimaka (Sélibabi)
 7. Hodh ech Chargui (Néma)
 8. Hodh el Gharbi (‘Ayoûn el ‘Atroûs)
 9. Inchiri (Akjoujt)
 10. Nouakchott (mji mkuu)
 11. Tagant (Tidjikja)
 12. Tiris Zemmour (Zouérat)
 13. Trarza (Rosso)
Mauritaania provintside kaart

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]


Africa satellite plane.jpg Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mauritania kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.Nchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia