Visiwa vya Madeira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Região Autónoma da Madeira (Jimbo la kujitawala la Madeira)
Flag of Madeira.svg
Wito: Das ilhas as mais belas e livres (Visiwa maridadi na huru kuliko vyote)
Madeira
LocationMadeira.png
Nchi Ureno
Lugha Kireno
Mji mkuu Funchal
Miji mingine Porto Santo, Machico, Santa Cruz, Câmara de Lobos, Santana, Caniço
Eneo 794 km²
Urefu / upana hadi 57 km/22 km
Wakazi (2003) 265.000 (5.000 Porto Santo), 2,5 % ya wakazi wote wa Ureno
Idadi ya tarafa 11
Mlima wa juu Pico Ruivo (1.862 m)
Rais wa serikali ya jimbo Alberto João Jardim
Jimbo la kujitegemea tangu 1976
Saa za eneo UTC
Simu ya kimataifa +351 291
Wimbo A Portuguesa (kitaifa)
Hino da Região Autónoma da Madeira (kijimbo)

Madeira ni funguvisiwa ya kireno katika bahari ya Atlantiki mbele ya pwani la Afrika. Iko takriban 1000 km kusini ya Lisbon na 600 km magharibi ya Moroko. Jina la Madeira lamaanisha "ubao" kwa Kireno.

Kisiwa kikubwa kinaitwa Madeira vilevile. Karibu nacho ni kisiwa kidogo cha Porto Santo na visiwa vidogo visivyo na wakazi vya Ilhas Desertas na Ilhas Selvagens.

Wakazi karibu wote ni wa asili ya Ureno na wakristo wakatoliki.

Mji mkuu ni Funchal. Madeira ina hali ya jimbo la kujitawala ndani ya Ureno.

Picha za Madeira[hariri | hariri chanzo]

Africa satellite plane.jpg Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Visiwa vya Madeira kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Europa Mapa.png Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Visiwa vya Madeira kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Nchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesotho | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia