Chad

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Jamhuri ya Chadi
République du Tchad
Jumhuriyat Tashad
Flag of Chad
(Kinaganaga)
Hadabu ya Taifa: Unité - Travail - Progrès
Mahali pa Chad
Lugha za Taifa Kifaransa, Kiarabu
Mji Mkuu Ndjamena
Rais Idriss Déby
Fedha Franc CFA
Saa za Eneo UTC +1
Wimbo wa Taifa La Tchadienne
Intaneti TLD .td
Codi ya simu 235

Chad (pia: Chadi) ni nchi iliyoko Afrika ya Kati. Mji mkuu ni Ndjamena. Imepakana na Libya, Sudan, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Kamerun, Nigeria na Niger.

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Cd-map.png

Sehemu kubwa ya eneo lake ni jangwa na nchi yabisi. Katika kusini kuna kanda lenye hali ya hewa ya kitropiki lakini ardhi yenye rutba inayofaa kwa kilimo ni asilimia 3 za aeno lote tu.

Katika kaskazini kuna milima ya Tibesti. Katikati iko beseni ya ziwa Chad lililokuwa kati ya maziwa makubwa kabisa duniani lakini limekonda sana katika miaka iliyopita.

Watu[hariri | hariri chanzo]

Jinsi ilivyo katika nchi mbalimbali za kanda la Sahel kuna aina mbili za wakazi ndani yake:

  • Kaskazini wako hasa watu walioathiriwa sana na utamaduni wa Kiislamu. Mifano ni Waarabu, Wafulbe, Wahaussa, Wazaghawa na wengine. Wengi wao walikuwa wafugaji na sehemu ya makabila inaendelea hadi leo maisha ya kuhamahama.
  • Kusini wako hasa watu wanaofuata dini za jadi za Kiafrika au Ukristo kama Wasara. Wengi wao hulima.

Katika historia kabla ya ukoloni watu wa kaskazini waliwafanyia vita watu wa kusini na kuteka wafungwa kama watumwa. Hadi leo uhusiano kati ya kusini na kaskazini ya nchi ni mgumu.

Angalia pia orodha ya lugha.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:Nchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia