Gambia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Republic of The Gambia
Bendera ya Gambia Nembo ya Gambia
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: Progress, Peace, Prosperity (Maendeleo, Amani, Utajiri)
Wimbo wa taifa: For The Gambia Our Homeland (Kwa Gambia nchi yetu)
Lokeshen ya Gambia
Mji mkuu Banjul
13°28′ N 16°36′ W
Mji mkubwa nchini Serrekunda
Lugha rasmi Kiingereza
Serikali Jamhuri
Yahya Jammeh
Uhuru
Kutoka Uingereza
18 Februari 1965
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
10,380 km² (ya 158)
11.5
Idadi ya watu
 - Julai 2005 kadirio
 - Msongamano wa watu
 
1,593,256 (ya 150)
153.5/km² (ya 52)
Fedha Dalasi (GMD)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
GMT (UTC)
(UTC)
Intaneti TLD .gm
Kodi ya simu +220

-


Map of the Gambia

Gambia (rasmi: Republic of The Gambia) ni nchi ndogo kabisa ya Afrika. Eneo lake limo ndani ya Senegal kwa kufuata mwendo wa mto Gambia. Kimsingi nchi yote ni kanda mbili za eneo kando la mto; urefu ni takriban 500 km, upana kati ya 10 km na 50 km.

Nchi imepatikana kutokana na mavutano kati ya Uingereza na Ufaransa wakati wa ukoloni. Mwanzoni Uingereza ilitafuta tu njia ya maji kwa ajili ya biashara bila kujali utawala wa nchi. Mapatano kati ya Ufaransa na Uingereza baada ya vita ya Napoleon yaliimarisha hali hiyo. Wafaransa walichukua eneo lote kubwa la Senegal, na Waingereza lile kanda ndogo ndani ya Senegal.

Tangu uhuru wa nchi zote mbili palikuwa na mpango wa kuunganisha nchi zote mbili kwa njia ya shirikisho lakini Gambia ilitoka katika mapatano haya mwaka 1989.

Wakazi[hariri | hariri chanzo]

Wakazi wa nchi ni hasa Wamandinka, halafu Wafulani na Wawolof, jumla milioni 1.6.

Makabila ya Gambia
asilimia Kabila
42,3 % Wamandinka
18,2 % Wafula
15,7 % Wawolof
9,5 % Wadiola
8,7 % Waserahuli
2,1 % Waserer
1,3 % Wamanjago
1,0 % Waaku
0,4 % Wabamana
0,9 % wengine
Namba za mwaka 1973

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Historia ya Gambia[hariri | hariri chanzo]

Uchumi wa Gambia[hariri | hariri chanzo]


Nchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia
Africa satellite plane.jpg Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Gambia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.