Lesotho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Muso oa Lesotho
Miliki ya Lesotho
Bendera ya Lesotho Nembo ya Lesotho
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: Khotso, Pula, Nala
(Kisotho: Amani, Nyesha, Baraka)
Wimbo wa taifa: Lesotho Fatse La Bontata Rona
Lokeshen ya Lesotho
Mji mkuu Maseru
29°18′ S 27°28′ E
Mji mkubwa nchini Maseru
Lugha rasmi Kiingereza
Serikali
Letsie Watatu
Pakalitha Mosisili
Independence
kutoka Wiingereza
4 Oktoba 1966
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
30,355 km² (137th)
Negligible
Idadi ya watu
 - Julai 2005 kadirio
 - 2004 sensa
 - Msongamano wa watu
 
1,867,035 1 (146)
1,861,959
61.5/km² (109)
Fedha Maloti (LSL)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC+2)
(UTC)
Intaneti TLD .ls
Kodi ya simu +266

-

1.) Jua: Kwamba ukadiri wa umma hasa umechukua jawabu ya watu wanaoaga dunia kwa sababu ya Ukimwi; hii yenyewe imeleta maisha pungufu, kuaga dunia kwa watoto wanaozaliwa na jumla ukuzi wa umma kupungua na mabadiliko ya usabaa wa umma kwa rika, kadiri ya wanawake na wanaumme kama kungiavyo tarajiwa.


Ufalme wa Lesotho, au Lesotho, ni nchi ndogo ya Afrika ya Kusini. Ina wakazi milioni 1.8. Mji mkuu ni Maseru. Lesotho haina pwani la bahari yoyote. Eneo lake limo ndani ya eneo la Afrika Kusini pande zote. Wakati wa ukoloni ilijulikana kama Basutoland. Sasa ni nchi mwanachama wa Umoja wa Mataifa. Jina Lesotho lamaanisha ni eneo ya watu ambao waongea lugha ya Kisotho.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Tako la Kifungu: Historia ya Lesotho

Siasa[hariri | hariri chanzo]

Tako la kifungu: Siasa ya Lesotho

.

Wilaya[hariri | hariri chanzo]

Tako la kifungu: Wilaya za Lesotho

Kwa usimamizi wa serikali, Lesotho imegawiwa katika Wilaya 10, kila moja ikiongozwa na Karani wa wilaya. Kila wilaya ina mji unaoitwa mji wa kambi (camptown).

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Ukweli wa Kijiografia ambao wajulikana zaidi kuhusu Lesotho, ni kwamba ni nchi iliozungukwa na Afrika ya Kusini, na ni nchi pekee uhuru duniani ambayo iko juu ukwea mita zaidi ya 1,000 (3,300 ft). Eneo chini zaid ni mita 1,400 (4,593 ft), na zaid ya asilimia 80% ya nchi iko kwa ukwea mita 1,800 (5,900 ft).

Uchumi[hariri | hariri chanzo]

Tako la Kifungu: Uchumi wa Lesotho

Malealea, mandhari ya Lesotho
River Makhaleng mabonde kwa milima ya Lesotho
nyumba nchini Lesotho
Malealea; mbali magharibi wa Lesotho

Ukimwi[hariri | hariri chanzo]

Wafanya kazi[hariri | hariri chanzo]

Ulinzi[hariri | hariri chanzo]

Mambo ya kigeni[hariri | hariri chanzo]

A gorge in Lesotho
Snow on a Lesotho road

Watu na Ukoo[hariri | hariri chanzo]

Tako la kifungu: Watu wa Lesotho

Utamaduni[hariri | hariri chanzo]

Shauri kiwazowazo[hariri | hariri chanzo]

Viungo via nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Serikali[hariri | hariri chanzo]

Habari[hariri | hariri chanzo]

Uchambuzi[hariri | hariri chanzo]


Nchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia
Africa satellite plane.jpg Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lesotho kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.