Orodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Ramani ya nchi za Afrika kulingana na wingi wa watu.

Hii ni orodha ya nchi za Afrika kutegemeana na msongamano wa watu kwa kila / km ². Misri yote imejumuishwa, ingawa sehemu ya eneo la Misri inapatikana Asia. Saint Helena, ikiwa imekaribiana sana na Afrika, imejumuishwa.

nchi Wingi wa watu ukubwa wa eneo idadi ya watu
  (/ km ²) (km ²) (2002-07-01 est)
Morisi 588 2.040 1.200.206
Mayotte (Fr.) 457 374 170.879
Réunion (Fr.) 296 2.512 743.981
Komoro 283 2.170 614.382
Rwanda 281 26.338 7.398.074
Burundi 229 27.830 6.373.002
Shelisheli 176 455 80.098
Sao Tome na Principe 170 1.001 170.372
Nijeria 141 923.768 129.934.911
Gambia 129 11.300 1.455.842
Uganda 105 236.040 24.699.073
Kepuvede 101 4.033 408.760
Togo 93 56.785 5.285.501
Malawi 90 118.480 10.701.824
Ghana 85 239.460 20.244.154
Sierra Leone 78 71.740 5.614.743
Lesotho [66] 30.355 2.207.954
Misri [64] 1.001.450 70.712.345
Moroko (ukiondoa Sahara Magharibi) 70 446.550 31.167.783
Swaziland 65 17.363 1.123.605
Benini [59] 112.620 6.787.625
Uhabeshi [59] 1.127.127 67.673.031
Tunisia [59] 163.610 9815.644
Senegali 54 196.190 10.589.571
Kenya 53 582.650 31.138.735
Kodivaa [55] 322.460 16.804.784
Bukinafaso [53] 274.200 12.603.185
Tanzania 39 945.087 37.187.939
Ginebisau [48] 36.120 1.345.479
Eritrea [48] 121.320 4.465.651
Afrika Kusini [47] 1.219.912 43.647.658
Kameruni 34 475.440 16.184.748
Gine 32 245.857 7.775.065
Liberia 30 111.370 3.288.198
Zimbabwe 29 390.580 11.376.676
Madagaska 28 587.040 16.473.477
Msumbiji [43] 801.590 19.607.519
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo [43] 2.345.410 55.225.478
Jibuti [42] 23.000 472.810
Ginekweta 18 28.051 498.144
Mtakatifu Helena (UK) 18 410 7.317
Sudan 15 2.505.810 37.090.298
Aljeria 14 2.381.740 32.277.942
Zambia 13 752.614 9.959.037
Somalia 12 637.657 7.753.310
Mali 9,1 1.240.000 11.340.480
Jamhuri ya Kongo 8,7 342.000 2.958.448
Angola 8,5 1.246.700 10.593.171
Nijeri 8,4 1.267.000 10.639.744
Chad 7,0 1.284.000 8.997.237
Jamhuri ya Afrika ya Kati 5,8 622.984 3.642.739
Gabon 4,6 267.667 1.233.353
Libya 3,1 1.759.540 5.368.585
Moritania 2,7 1.030.700 2.828.858
Botswana 2,7 600.370 1.591.232
Namibia 2,2 825.418 1.820.916
Sahara Magharibi 1,0 266.000 256.177
JUMLA 841.627.750

Angalia Pia[hariri | hariri chanzo]