Orodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya Afrika kwa GDP (bilioni za USD) mwaka 2008:      juu ya 200      100-200      50-100      20-50      10-20      5-10      1-5      chini ya 1

Pato la taifa (kwa Kiingereza: Gross domestic product, GDP) ni thamani ya sokoni ya bidhaa na huduma zote za nchi fulani katika mwaka. Orodha hii inayohusu bara la Afrika inafuata takwimu za International Monetary Fund.[1][2][3][4][5][6]

Orodha[hariri | hariri chanzo]

Takwimu za mwaka 2016 ni kama ifuatavyo:[7][8]

2016 Nafasi Nchi Pato la taifa
(bilioni za $)
Pato la wastani la mwananchi ($) Maelezo
1 Bendera ya Nigeria Nigeria 406.0 2,929.525
2 Bendera ya Misri Egypt 332.3 3,740.249 2015 data[7]
3 Bendera ya Afrika Kusini South Africa 294.1 4,768.235
4 Bendera ya Algeria Algeria 160.8 4,082.572
5 Bendera ya Moroko Morocco 100.6 3,195.564
7 Bendera ya Angola Angola 95.8 3,150.476
6 Bendera ya Sudan Sudan 94.4 2,366.970
8 Bendera ya Ethiopia Ethiopia 72.5 739.444
9 Bendera ya Kenya Kenya 68.9 1,422.411 [9]
10 Bendera ya Tanzania Tanzania 47.2 943.797
11 Bendera ya Tunisia Tunisia 43.2 3,919.332
12 Bendera ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Democratic Republic of the Congo 41.6 489.796
14 Bendera ya Ghana Ghana 43.3 1,384.354
15 Bendera ya Côte d'Ivoire Ivory Coast 34.668 1,425.056
13 Bendera ya Libya Libya 33.2 6,157.797
16 Bendera ya Kamerun Cameroon 29.3 1,279.103
17 Bendera ya Uganda Uganda 26.2 608.353
18 Bendera ya Zambia Zambia 19.117 1,143.550
19 Bendera ya Zimbabwe Zimbabwe 14.659 1,081.531
20 Bendera ya Senegal Senegal 14.572 945.863
21 Bendera ya Mali Mali 14.198 844.274
22 Bendera ya Gabon Gabon 14.166 7,530.435
23 Bendera ya Botswana Botswana 12.701 5,896.556
24 Bendera ya Msumbiji Mozambique 12.505 434.930
25 Bendera ya Burkina Faso Burkina Faso 11.872 644.502
26 Bendera ya Morisi Mauritius 11.865 9,421.541
27 Bendera ya Namibia Namibia 11.210 5,005.166
28 Bendera ya Chad Chad 10.096 851.640
29 Bendera ya Madagaska Madagascar 9.524 382.241
30 Bendera ya Benin Benin 9.062 814.360
31 Bendera ya Rwanda Rwanda 8.490 732.463
32 Bendera ya Jamhuri ya Kongo Congo 8.364 1,875.265
33 Bendera ya Guinea ya Ikweta Equatorial Guinea 7.884 9,604.286
34 Bendera ya Niger Niger 7.510 412.797
35 Bendera ya Guinea Guinea 6.569 519.173
36 Bendera ya Somalia Somalia[10] 5.95 547.32
37 Bendera ya Eritrea Eritrea 5.352 771.361
38 Bendera ya Malawi Malawi 5.347 286.981
39 Bendera ya Mauritania Mauritania 4.541 1,197.121
40 Bendera ya Togo Togo 4.405 586.301
41 Bendera ya Sierra Leone Sierra Leone 4.095 635.892
42 Bendera ya Eswatini Swaziland 3.391 2,611.777
43 Bendera ya South Sudan South Sudan 3.074 245.901
44 Bendera ya Burundi Burundi 2.772 287.286
45 Bendera ya Liberia Liberia 2.106 478.681
46 Bendera ya Lesotho Lesotho 1.766 911.775
47 Bendera ya Jibuti Djibouti 1.903 1,917.576
48 Bendera ya Jamhuri ya Afrika ya Kati Central African Republic 1.819 372.165
49 Bendera ya Cabo Verde Cape Verde 1.625 3,057.916
50 Bendera ya Shelisheli Seychelles 1.427 15,400.056
51 Bendera ya Guinea-Bisau Guinea-Bissau 1.136 624.671
52 Kigezo:Country data The Gambia 0.886 435.452
53 Bendera ya Komori Comoros 0.609 739.132
54 Bendera ya São Tomé na Príncipe São Tomé and Príncipe 0.349 1,681.379
-- Total 2140.621
Ramani ya Afrika ya mwaka 2002 ikionyesha wastani wa GDP kwa kila mwananchi (USD).

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Moffatt, Mike. "A Beginner's Guide to Purchasing Power Parity Theory". About.com. IAC/InterActiveCorp. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-03-01. Iliwekwa mnamo 31 May 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. Ito, Takatoshi et. al. (January 1999). "Economic Growth and Real Exchange Rate: An Overview of the Balassa-Samuelson Hypothesis in Asia". Changes in Exchange Rates in Rapidly Development Countries: Theory, Practice, and Policy Issues. National Bureau of Economic Research. Iliwekwa mnamo 1 June 2014.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. "What is GDP and why is it so important?". Investopedia. IAC/InterActiveCorp. 26 February 2009. Iliwekwa mnamo 30 May 2014.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  4. "GDP rankings in Africa". visafrican. Visafrican.com. 23 July 2016. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-05-21. Iliwekwa mnamo 23 July 2016.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  5. Callen, Tim (28 March 2012). "Purchasing Power Parity: Weights Matter". Finance & Development. International Monetary Fund. Iliwekwa mnamo 30 May 2014.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  6. Callen, Tim (28 March 2012). "Gross Domestic Product: An Economy’s All". Finance & Development. International Monetary Fund. Iliwekwa mnamo 31 May 2014.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  7. 7.0 7.1 IMF World Economic Outlook (WEO), October 2015 [1] [2]
  8. "IMF World Economic Outlook (WEO), October 2016". 
  9. "Kenya's economy increases by a quarter to join Africa's top 10". Reuters. 30 September 2014. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-10-20. Iliwekwa mnamo 23 December 2014.  Unknown parameter |= ignored (help); Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  10. http://www.worldatlas.com/finance/somalia/gdp.html.  Missing or empty |title= (help)