Mapishi ya Kiafrika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mapishi ya Kiafrika kitamaduni, hutumia mchanganyiko wa mimea na mbegu mbalimbali, [1] na kwa kawaida huwa hakuna vyakula vinavyoagizwa kutoka nje.

Katika baadhi ya sehemu za Bara la Afrika, lishe ya kitamaduni ina bidhaa nyingi za aina ya mizizi. [2]

Afrika ya Kati, Afrika ya Mashariki, Afrika ya Kaskazini Afrika ya Kusini na Afrika ya Magharibi kila moja ina sahani, mbinu za utayarishaji, na matumizi mengine tofauti. [3] [4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Neo-Africanism: The New Ideology for a New Africa. Trafford Publishing. 2008. p. 505. ISBN 978-1-4251-7678-5. Retrieved November 30, 2017. 
  2. Food (en). African Fest USA. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-09-20. Iliwekwa mnamo 2020-05-24.
  3. School Foodservice Journal (v. 31). American School Food Service Association. 1977. p. 36. Retrieved 2017-11-30. 
  4. Njogu, K.; Ngeta, K.; Wanjau, M. (2010). Ethnic Diversity in Eastern Africa: Opportunities and Challenges. Twaweza Communications. pp. 78–79. ISBN 978-9966-7244-8-9. Retrieved 2017-11-30. 
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mapishi ya Kiafrika kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.