Nenda kwa yaliyomo

Sahani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sahani ni chombo cha nyumbani chenye umbo la duara, kilichotengenezwa kwa udongo wa kauri, bati au chuma kinachotumiwa hasa kuwekea vyakula.

Tangu zamani, sahani zimepambwa na kuwa sehemu ya sanaa.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sahani kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.