Kioo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kioo ni dutu imara na ngumu inayopatikana kwa umbo lolote. Kwa kawaida ni kiangavu na wazi maana yake kinaruhusu kuona yale yaliyopo nyuma yake. Inatengenezwa pia kwa rangi mbalimbali. Kyoo ni dutu hobela hakina fuwele ndani yake.

Matumizi ya kila siku ni katika vyupa na madirisha ya kioo.

Kioo hutokea kiasili kama silika inapashwa joto kali zaidi ya sentigredi 2,000. Watu walikuta kioo cha aina hii baada ya milipuko ya volkeno au moto asilia kali. Walijifunza kuitengeneza kwa kuongeza viungo kadhaa vinyopunguza kiwango cha kuyeyuka.

Picha za kioo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu: