Guinea ya Ikweta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
República de Guinea Ecuatorial
République de Guinée équatoriale
República da Guiné Equatorial

Jamhuri ya Guinea ya Ikweta
Bendera ya Guinea ya Ikweta Nembo ya Guinea ya Ikweta
Bendera Nembo
Wito la taifa: Unidad, Paz, Justicia
(Kihispania: Umoja, Amani, Haki)
Wimbo wa taifa: Caminemos pisando la senda
(Kihispana: acha tu kanyange njia
Lokeshen ya Guinea ya Ikweta
Mji mkuu Malabo
{{{latd}}}°{{{latm}}}′ {{{latNS}}} {{{longd}}}°{{{longm}}}′ {{{longEW}}}
Mji mkubwa nchini Malabo
Lugha rasmi Kihispania, Kifaransa, Kireno
Serikali
Teodoro Obiang Nguema Mbasogo
Miguel Abia Biteo Boricó
Uhuru
Kutoka Uhispania
12 Oktoba 1968
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
28,051 km² (141)
-
Idadi ya watu
 - Julai 2005 kadirio
 - ? sensa
 - Msongamano wa watu
 
535,881 (160)
haiko
19.1/km² (157)
Fedha CFA franc (XAF)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
CET (UTC+1)
- (UTC+1)
Intaneti TLD .gq
Kodi ya simu +240 Río Muni

footnotes = -


Jamhuri ya Guinea ya Ikweta (kisw. pia: Ginekweta) ni nchi magharibi Afrika ya Kati. Ni nchi mojawapo ndogo kwa bara la Afrika.

Imepakana na Kamerun upande wa kaskazini, Gabon kusini na mashariki, na Guba la Guinea magharibi, ambapo kisiwa cha São Tomé na Príncipe chapatikana kusini-magharibi mwa Guinea ya ikweta. Ilikuwa koloni ya Uhispania ambapo iliitwa Guinea ya Uhispania, na eneo zake ambazo zajulikana (kwa bara kama Río Muni) za husu eneo kadhaa visiwa, na pia kisiwa kama Bioko ambapo mji mkuu humo, Malabo (ambayo iliitwa, Santa Isabela). Jina la nchi hii latokana na kuwa ya kwamba imo karibu na Ikweta na pia karibu na Guba la Guinea.

Ni nchi pekee Afrika ambapo lugha ya Kihispania ndio lugha rasmi na ya Taifa, hasa ukiacha maeneo ya Hispania iliozungukwa na bara, Ceuta na Melilla na nchi-Isiotambuliwa-kimataifa Jamhuri ya Sahara ya Kidemokrasia ya Kiarabu.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Tako la Kifungu: Historia ya Guinea ya Ikweta

Siasa[hariri | hariri chanzo]

Tako la kifungu: Siasa za Guinea ya Ikweta

Uchumi[hariri | hariri chanzo]

Tako la kifungu: Uchumi wa Guinea ya Ikweta

Mikoa[hariri | hariri chanzo]

Mikoa ya Guinea ya Ikweta

Tako la kifungu: Mikoa ya Guinea ya Ikweta

Guinea ya ikwete imegawa kwa mikoa 7:

  1. Mkoa wa Annobón (mji mkuu wa mkoa: San Antonio de Palé)
  2. mkoa wa Bioko Norte (Malabo)
  3. Mkoa wa Bioko Sur (Luba)
  4. Mkoa wa Centro Sur (Evinayong)
  5. Mkoa wa Kié-Ntem (Ebebiyín)
  6. mkoa wa Litoral (Bata)
  7. Mkoa wa Wele-Nzas (Mongomo)

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Bioko (Guinea ya ikweta) yaonekana kutoka Kamerun

Tako la: Jiografia ya jamhuri ya Ikweta

Watu[hariri | hariri chanzo]

Tako la kifungu: Watu wa Guinea ya ikweta

Utamaduni[hariri | hariri chanzo]

Tako la Kifangu: Utamaduni wa Guinea ya Ikweta

Vituo via Habari[hariri | hariri chanzo]

Shauri kiwazowazo[hariri | hariri chanzo]

Uchambuzi[hariri | hariri chanzo]

 This article incorporates public domain material from websites or documents of the CIA World Factbook.

Viungi via nnje[hariri | hariri chanzo]

Kigezo:Mahusiano

Habari[hariri | hariri chanzo]

Uchambuzi na Maelekezo[hariri | hariri chanzo]

Ukoo na Kabila[hariri | hariri chanzo]

  • African Pygmies (Utamaduni na mziki wa watu wa Guinea ya ikwete / picha na ukoo.)

Utalii[hariri | hariri chanzo]

Uchumi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]


Nchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia
Africa satellite plane.jpg Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Guinea ya Ikweta kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.