Namibia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Republic of Namibia
Jamhuri ya Namibia
Bendera ya Namibia Nembo ya Namibia
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: Unity, Liberty, Justice
Wimbo wa taifa: Namibia, Land of the Brave (Namibia, nchi ya mashujaa)
Lokeshen ya Namibia
Mji mkuu Windhoek
22°33′ S 17°15′ E
Mji mkubwa nchini Windhoek
Lugha rasmi Kiingereza1
Serikali Jamhuri
Hifikepunye Pohamba
Nahas Angula
Uhuru
Kutoka Afrika Kusini
21 Machi 1991
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
825,418 km² (ya 33)
kidogo sana
Idadi ya watu
 - Julai 2005 kadirio
 - 2002 sensa
 - Msongamano wa watu
 
2,030,6922 (ya 147)
1,820,916
2.5/km² (ya 192)
Fedha Namibia dollar (NAD)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC+1)
(UTC)
Intaneti TLD .na
Kodi ya simu +264

-

1) Kijerumani and Kiafrikaans zilikuwa lugha rasmi pamoja Kiingereza hadi uhuru mwaka 1990. Wakazi wengi hutumia Kiafrikaans kama lugha ya pili. Oshiwambo ni lugha ya kwanza wa nusu ya wakazi. Kijerumani ni lugha ya kwanza wa 32% za wakazi wenye asili ya kiulaya lakini kiingereza ni lugha ya kwanza wa 7% pekee.Namibia ni nchi ya Afrika ya Kusini kwenye pwani la Atlantiki. Imepakana na Angola, Zambia, Zimbabwe Botswana na Afrika Kusini. Imepata uhuru wake kutoka Afrika Kusini mwaka 1990. Mji mkuu ni Windhoek.

Sehemu kubwa ya nchi ni kavu sana na jangwa za Namib na Kalahari zinafunika asilimia kubwa ya uso wa nchi. Jangwa la Namib liko upande wa magharibi likifuata pwani la Atlantiki kuanzia Afrika Kusini hadi Angola. Upande wa mashariki kuna jangwa la Kalahari linalovuka mpaka wa Botswana. Katikati ya jangwa hizi kuna nyanda za juu zinazofikia kimo cha mita 1700 kwa wastani.

Picha za Namibia[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Nchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia
Africa satellite plane.jpg Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Namibia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.