Senegal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
République du Sénégal
Jamhuri ya Senegal
Bendera ya Senegal Nembo ya Senegal
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: Un Peuple, Un But, Une Foi
(Kifaransa: Taifa moja, Lengo moja, Imani moja)
Wimbo wa taifa: Pincez Tous vos Koras, Frappez les Balafons'
Lokeshen ya Senegal
Mji mkuu Dakar
{{{latd}}}°{{{latm}}}′ {{{latNS}}} {{{longd}}}°{{{longm}}}′ {{{longEW}}}
Mji mkubwa nchini Dakar
Lugha rasmi Kifaransa
Serikali Jamhuri
Abdoulaye Wade
Uhuru
kutoka Ufaransa
20 Juni 1960
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
196,190 km² (ya 85)
{{{percent_water}}}
Idadi ya watu
 - 2005 kadirio
 - 2005 sensa
 - Msongamano wa watu
 
11,658,000 (ya 72)
11,658,000
56.7/km² (110)
Fedha CFA Franc ({{{currency_code}}})
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
UTC (UTC+0)
(UTC)
Intaneti TLD .sn
Kodi ya simu +221

-


Senegal

Senegal ni nchi ya Afrika ya Magharibi upande wa kusini wa mto Senegal. Imepakana na Mauritania upande wa kaskazini, Mali upande wa mashariki, Guinea na Guinea-Bisau kwenye kusini na Bahari Atlantiki upande wa magharibi. Nchi ya Gambia iko ndani ya eneo la Senegal. Visiwa vya Cabo Verde viko 560 km mbele ya pwani la Senegal. Ilikuwa koloni ya Ufaransa hadi 1960.

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Senegal ni nchi inayogusana na kanda ya Sahel na pia kanda ya Tropiki. Uso wa nchi ni hasa tambarare zinazopanda juu polepole kuelekea kusini mashariki. Sehemu za zinafikia 580 m juu ya UB. Kusini kabisa iko kasoko kubwa la Velingara.

Hali ya hewa ni ya kitropiki. Majira ya mvua ni hasa miezi ya Mei hadi Novemba.

Miji[hariri | hariri chanzo]

Miji mikubwa ni Dakar (wakazi 1,998,635), Touba (wakazi 428,059), Thiès (wakazi 240,152), Rufisque (Wakazi 187.203), Kaolack (Wakazi 173,782), Mbour (Wakazi 170,699), Ziguinchor (Wakazi 162,436) na Saint-Louis (Wakazi 130.750). Karibu nusu ya watu huishi mjini.

Wakazi[hariri | hariri chanzo]

Kuna wakazi milioni 11 na idadi kubwa ni chini ya umri wa miaka 20. Wameongezeka sana, mnamo mwaka 1985 idadi ilikuwa milioni 5 tu. Kikundi kikubwa nchini ni Wawolof (33%), halafu Waserer (20%), wengine Wafula, Wadiola, Watukulur, Wamandinka, Wasoninke. Kwa ujumla kuna lugha 37 nchini Senegal.

Theluthi mbili ya wakazi hawajui kusoma.

Walio wengi sana ni Waislamu Wasunni (94%); Wakristo Wakatoliki takriban 5%.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:Nchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia
Africa satellite plane.jpg Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Senegal kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.