Zimbabwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Jamhuri ya Zimbabwe
Republic of Zimbabwe, Africa
Flag of Zimbabwe Coat of arms of Zimbabwe.svg
(Kinaganaga) (Kinaganaga)
Hadabu ya Taifa Unity, Freedom, Work (Kiingereza: Umoja, Uhuru, Kazi) " |
Location of Zimbabwe
Lugha ya Taifa Kiingereza
Mji Mkuu Harare
Mji Mkubwa Harare
Rais Robert Mugabe
Eneo
 - Jumla
 -Maji
 -Eneo ya kadiriwa
390,580 km²
1%
Kadiriwa 59 duni
Umma
 - Kadiriwa
 - Sensa,
 - Umma kugawa na Eneo (kilomita)
12,576,742 Kadiriwa 66 duni
(2003)
; 32/km²
; [[Orotha ya nchi kulingana na eneo kwa umma| duni]
Chumo cha uchumi
 - Jumla
 - kwa kipimo cha umma
$24.99 billion (( ) kadir)
$2,100 (( ))
Uhuru
 - Kadirifu
 - Barabara
(kama, Rhodesia) 11 Novemba 1965
(kama Zimbabwe) 18 Aprili 1980
Fedha Dola, Zimbabwe (Z$)|
Saa za Eneo UTC +2
Wimbo wa Taifa
Intaneti TLD .zw
kodi za simu 263

Jamhuri ya Zimbabwe (iliyojulikana wakati wa ukoloni kama Rhodesia ya Kusini) ni nchi isiyo na bahari iliyopo upande wa kusini wa Bara la Afrika, kati ya mto Zambezi na mto Limpopo.

Imepakana na Afrika ya Kusini upande wa kusini, Botswana upande wa magharibi, Zambia upande wa kaskazini-mashariki, na Msumbiji upande wa mashariki.

Jina[hariri | hariri chanzo]

Jina Zimbabwe latoka katika jina "dzimba dzamabwe" kumaanisha "nyumba ya mawe" kwa lugha ya Kishona. Nyumba hiyo ya mawe , ambayo imehifadhiwa kama eneo la kihistoria, ilikuwa Milki ya Mwenemtaba ambaye ufalme wake uliongoza eneo hilo miaka ya kale.

Pesa ya Zimbabwe (hadi 2015, baadaye dollar ya Zimbabwe ilifutwa na Dolar ya Marekani kuwa pesa rasmi).

Eneo[hariri | hariri chanzo]

Zimbabwe imegawiwa katika mikoa 8 na miji miwili ikiwa na hadhi ya Mikoa. Imegawiwa zaidi katika wilaya 59 na manispaa 1,200.

Mikoa ya Zimbabwe ni Bulawayo (mji), Harare (mji), Manicaland, Mashonaland ya kati, Mashonaland Mashariki, Mashonaland Magharibi, Masvingo, Matabeleland Kaskazini, Matabeleland Kusini na Eneo ya Kati (midlands).

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Maporomoko ya maji (Bridal Vei), paa za mashariki
Duka, Paa za mashariki, 1989

Utamaduni[hariri | hariri chanzo]

Makala ya ndani zaidi: Utamaduni wa Zimbabwe

Mawasiliano[hariri | hariri chanzo]

Makala ya ndani zaidi: Mawasiliano Zimbabwe Mawasiliano ya simu, mitambo yake yaendeshwa na Tel-One0, kampuni ya serikali.

Kuna kampuni 3 za (simu za mkononi): Econet Wireless, Net*One na Telecel.

Uhuru[hariri | hariri chanzo]

Katika orodha ya uhuru kwa waandishi wa habari mwaka 2004 Zimbabwe ilishika nafasi ya 155 kati ya nchi 167.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo via nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Serikali[hariri | hariri chanzo]

Habari[hariri | hariri chanzo]

Wanamgambo[hariri | hariri chanzo]

Mielekezo[hariri | hariri chanzo]

Utalii[hariri | hariri chanzo]

Nyingine[hariri | hariri chanzo]


Nchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia