Emmerson Mnangagwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Emmerson Mnangagwa
Emmerson Mnangagwa
Emmerson Mnangagwa
Tarehe ya kuzaliwa 15 Septemba 1942
Alingia ofisini 24 Novemba 2017
Kazi Mwanamapinduzi na mwanasiasa


Emmerson Dambudzo Mnangagwa (amezaliwa 15 Septemba 1942) ni mwanamapinduzi na mwanasiasa wa Zimbabwe ambaye kwa sasa anafanya kazi kama Rais wa tatu wa Zimbabwe tangu tarehe 24 Novemba 2017.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emmerson Mnangagwa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.