Mashonaland Magharibi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mashonaland Magharibi ni mkoa wa Zimbabwe upande wa kaskazini wa nchi.

Una eneo la kilometa mraba 57,441 na wakazi 1,894,000 (2022)[1].

Makao makuu yako Chinhoyi.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mashonaland Magharibi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.