Gweru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gweru ni mji wa Zimbabwe, makao makuu ya mkoa wa Midlands.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa kuwa 158,000[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Africa satellite plane.jpg Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Gweru kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.